Wednesday, March 21, 2012

NEW BLOG FOR YOUNG MUSLIM

Asalam Alykum kijana wa kiislam,kutokana na ukuwaji wa technolojia ya mawasiliano,Chuma salum kupitia kampuni yake ya CHUMA THE DESIGNER,inakutambulishia blog mpya ya kiislam ambayo itakuweka karibu na Dini yako ya Islam ukiwa kwenye mtandao ili kuepuka ushawishi wa shetani kwa kutumia technolojia ya mawasiliano Vibaya,Support this blog to Support young Islamic Movement,,ili kudumisha kizazi cha Dini ya Islam Tanzania na duniani kote.